最近搜索
NA BADO (feat. Nyashinski) - H_art the Band&Nyashinski 《NA BADO (feat. Nyashinski)》 HQ SQ
更新时间:2025-05-08 06:47:37
文件格式:flac
音乐下载
被下架或封杀等部分试听资源与网盘资源可能不一致,请以网盘资源为准
标签
NA BADO (feat. Nyashinski) - H_art the Band&Nyashinski 相似推荐
歌词

Intro

Hello,

Niaje Mum

Nimeona umetry kunicall

Ukinicall nilikua studio

Anyway, ukiwasha simu si unicall tupige ile story

Verse one - Mordecai

Fungulia TV

Uone vijana wako wakifanya mambo ndani ya mitambo mama Sauti tamu kwenye radio

Nimefika hapa juu ya maombi yako

Hata kama sijafika niendako

I know I'm on my way

Napenda ukitabasam

I hope I make you even prouder

Na uzidishiwe afya uone nikivuka border

And as I get older you can lean on my shoulder Umenifunza mengi

I remember when you told me

Don't you let nobody ever change who you are So I keep running hata nikianguka

Straight out of heaven Malaika

Upendo wako haujawaibadilika

You said take your time why you always in a hurry Be a star let it shine tell your story

You're a ten over ten you should know that Hawanioni vile unavyoniona

Chorus

Mama I'm gonna conquer the world with my guitar Na Bado, Na Bado

Mama najua siku moja nitakua Star

Na Bado, Na Bado

I will be your Star

Verse two - Nyashinski

Truth or dare uko ready

Life si fair already

Tukicompare kwenda Uni au kua millionaire na dreadi Utajiambia hii moja haikui

Passion haita’ipay

Si uache ball hauta’ikua Messi

Hata ujitolee haiwezi

So niambieni ka si madreamer world ingeonaje mapenzi Na unapimaje wazimu kujua dream yangu ni crazy Just needed someone to believe in me

I'm living to be more than just another boring eulogy Na siwezitoka bila kuacha jina you'll remember me My name will live forever may our memories together be As nice as sunny weather days

Like your energy

I'm grateful and I'm proud of me

Siamini naacha legacy mama

Vile meli inaenda ni kama

Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama Vile meli inaenda ni kama

Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama

Chorus

I'm gonna conquer the world with my guitar Na Bado, Na Bado

Mama najua siku moja nitakua Star

Na Bado, Na Bado

I will be your Star

Najua siku moja nitakua Star

Na bado, Na Bado

I will be your Star

Verse three - Skoko

Hello

Niaje Mum

Nimepata umetry kunikal

Pole Ukinikal Nilikuwa booth nikipiga Mistari

Tukiingia session lazima phone ikue silent

Utiaji utiaji tu za producer

Eeh industry inatupeleka fiti,

Pesa sio mingi

Lakini mafans wanalike Mziki

Eeh Inquiry ziko Mingi Sana

Promoters tu ndio Bei Hawafiki.

DJ's na Presenters Pia tumewatumia emails 3pc MAybe frequency yetu ndio mbaya

Stations hazishiki fiti,

Juzi kwanza tulipatana na Nyashinki akasema

analike vibe yetu na Hawezi mind kukuwa kwa track moja na sisi Eeh Alinipatia number but Sina Credit

Nitumie Credit ya Fifty nimpigie

Maybe hii ndio ile breakthrough tumekuwa tukitarajia Aah Sio hivyo Mum

Ile Deni yako Bado sijasahau

Mfuko yangu haijakaa fiti sahii

But iko gig flani inakaa promising

Wakicheza kama hao na mimi nitacheza kama Mimi One day nitakupeleka out Malindi

Uskie vile beach breeze hukuwanga windy

Fine Dinning Five Star na Wazungu na Wahindi

Anyway, Gotea kila mtu mtaani 19/60

Waambie Kijana Wao ako Fiti

Na Wasijali,

One Day Itajipa tu

Na ikijipa tshhhh...

kuweni tayaRi kuishi kama Royalty

Chorus

Najua siku moja nitakuwa star

Na bado Na bado

I will be your Star